Latest Posts
Kiongozi wa upinzani wa Uganda Besigye afikishwa mahakamani
Mwanasiasa mkongwe wa Uganda Kizza Besigye na mshtakiwa mwenzake, Obeid Lutale wamefikishwa katika mahakama ya kijeshi mjini Kampala, huku kukiwa na ulinzi mkali. Wawili hao wanakabiliwa na mashtaka manne yakiwemo ya kumiliki silaha kinyume cha sheria, tuhuma ambazo wanakanusha. Leo,…
DC Mgoni awaasa Watanzania kuendelea kudumisha amani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe MKUU wa wilaya ya Ileje, mkoani Songwe Farid Mgomi, amewaasa watanzania kuendelea kudumisha na kuimarisha amani, upendo, umoja na mshikamano ikiwa ni Tunu ya msingi wa Maendeleo katika Taifa la Tanzania lililoasisiwa na Hayati Mwalimu…
Mradi wa EACOP kuwawezesha watu wa asili katika kilimo na ufugaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arushaγ Mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki ( EACOP ) umeanzisha mpango wa kuwasaidia waguswa wa mradi huo wanaoishi pembezoni mwa miji, maarufu kama watu wa asili katika sekta ya kilimo na ufugaji…
Uwekezaji sekta ya nishati Tanzania kunufaisha nchi wanachama EAPP – Kapinga
π Ashiriki Mkutano wa Nchi Wanachama wa EAPP nchini Kenya π Aeleza jinsi Tanzania inavyotekeleza miradi ya umeme kwa ufanisi π Asema zaidi ya asilimia 99 ya Vijiji nchini vimesambaziwa umeme Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judidhi Kapinga amesema uwekezaji uliofanyika…