JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

TAKUKURU Kinondoni kupokea malalamiko 104

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kinondoni imesema katika kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Septemba 2024 wamepokea malalamiko 104 yaliyohusu rushwa 72, yasiyohusu rushwa 32 . Akitoa taarifa hiyo leo…

Mgogoro wa Kisiasa Ujerumani; Scholz amfukuza Kazi Waziri wa Fedha na kuvunja muungano

Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, amefukuza kazi Waziri wake wa Fedha, Christian Lindner, katika hatua inayolenga kumaliza mgawanyiko wa ndani lakini ambayo imezua mzozo wa kisiasa nchini. Hatua hii imefanya muungano uliokuwa unaiongoza serikali kuvunjika rasmi, huku chama cha kiliberali…

Maonesho ya bidhaa za vifungashio yazinduliwa Dar

Na Lookman Miraji Kwa mara nchini maonyesho ya bidhaa za vifungashio vya makaratasi yamezinduliwa jijini Dar es Salaam, hapo jana. Maonyesho hayo yajulikanayo kama “Pro paper Tanzania” yamejumuisha kampuni mbalimbali za utengenezaji wa vifaa vya upakiaji kutoka nchi mbalimbali. Pazia…

Kapinga asema mafanikio sekta nishati yanatoka na jitihada za Rais Samia

📌 Ni wakati akitoa mchango Bungeni kuhusu Mpango wa Taifa wa Maendeleo 📌 Ataja kuongezeka kwa kiasi cha umeme katika Gridi ya Taifa 📌 Aeleza usambazaji umeme vijijini ulivyofanyika kwa mafanikio; Vijiji 78 Tu vyasalia 📌 Aeleza jitihada zilizofanyika Sekta…

Putin Amwaga sifa kwa Trump

Rais wa Urusi Vladimir Putin amempongeza Donald Trump kwa ushindi wake wa uchaguzi, akimtaja kuwa “mtu jasiri”. Akizungumza katika hafla moja katika mji wa Sochi nchini Urusi, Putin alisema kuwa Trump “alidhulumiwa kutoka pande zote” katika muhula wake wa kwanza…

Kamanda DCP Ng’azi: Elimu ya usalama barabarani ni muhimu kwa watoto

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMediaDar es Salaam Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani Kamanda DCP Ramadhani Ng’azi amesema suala la elimu ya usalama barabarani ni muhimu na linalohitaji kuunganisha nguvu za pamoja ili kuokoa kundi hilo kwa bahati mbaya wao ni…