JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali yaipa TANROADS Mwanza bil. 58.27/- kujenga daraja la Simiyu na daraja la sukuma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 58.288 kwa ajili ya kujenga daraja la Simiyu na daraja la…

Huzuni, hasira baada ya watu 121 kupoteza maisha kutokana na mkanyagano India

Siku moja baada ya watu 121 kukanyagana hadi kufa katika hafla ya kidini katika jimbo la kaskazini mwa India la Uttar Pradesh, familia za baadhi ya waathiriwa bado zinawatafuta wapendwa wao. Tukio hilo lilitokea wakati wa satsang (tamasha ya kidini…

Wanajeshi 25 wahukumiwa kifo Kongo

Wanajeshi 25 waliotiwa hatiani kwa kumkimbia adui wakati wa mapigano na kundi la waasi la M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamehukumiwa kifo kwenye kesi iliyofanyika jana huko Kivu Kaskazini. Kwa mujibu wa mawakili wao, kesi hiyo iliwajumuisha…

TTCL yaja na huduma mpya ya T-CAFE

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Bodi Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Zuhura Muro amesema kutokana na dunia ya sasa ipo kidjitali imewezesha TTCL kupiga hatua katika kutoa huduma mbalimbali. Amesema kwa sasa TTCL imekuja na huduma…

Serikali kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili wafanyabiashara

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kufanya kila linalowezekana kusikiliza na kutatua changamoto za wafanyabiashara nchini. Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 03, 2024 jijini…

JWTZ kuadhimish miaka 60 tangu kuasisiwa kwake Septemba1, 1964

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaa Serikali ya Tanzania kupitia Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania( JWTZ linatarajia kufanya maadhimisho ya miaka 60 tangu kuasisiwa kwake Septemba 1, 1964 na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Akizungumza na waandishi wa habari…