JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kaimu Balozi apongeza askari wa kike walioshiriki mafunzo Abuja Nigeria

Na Abel Paul, Abuja Nigeria Kaimu Balozi, Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Nigeria amewapongeza askari wa kike kutoka Tanzania waliofika Jijini Abuja Nchini Nigeria kushiriki mafunzo ambayo yalichukua siku Tano. Pongezi hizo zimetolewa leo Julai 5,2024 na…

Luis Miqquisone atimkia Songo

Isri Mohamed Siku chache baada ya kutemwa na wekundu wa Msimbazi, aliyekuwa Winga wa Simba, Luis Miquissone amerejea kwenye klabu yake ya zamani ya UD do Songo kwa ajili ya msimu ujao wa 2024/25. Miquissone amerejea UD do Songo baada…

UNESCO rasmi kuiunga mkonoTanzania mageuzi ya kidigitali

Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limetangaza utayari wake wa kuiunga mkono Tanzania katika juhudi za kuimarisha juhudi za kuleta mabadiliko ya kidijitali nchini. Hayo yamesemwa na Tawfik Jelassi, Mkurugenzi Msaidizi wa…

Mfumo wa NaPA unasomana na mifumo mingine’

Na Mwandishi Wetu, WHMTH ar es Salaam Mratibu Msaidizi wa Mfumo wa Anwani za Makazi, Arnold Mkude amewatoa hofu wananchi kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi NaPA kusomana na mifumo mingine akibainisha kwamba hilo ni jambo lililozingatiwa tangu awali na…

Waziri Nape: Tuna wajibu wa kuilinda nchi yetu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewataka Wanachama wa Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA), kutumia vizuri majukwaa yao ya habari mtandaoni kujipatia kipato ili kukuza…

Waziri Kairuki atangaza fursa za sekta za misitu, nyuki na utalii

Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amehamasisha Watanzania kuchangamkia fursa zilizopo katika Sekta ya Misitu, Nyuki na Utalii ili kujiongezea kipato na kupata ajira. Ameyasema hayo leo Julai 5,2024 alipotembelea…