Latest Posts
Waziri Kijaji ahimiza watendaji ofisi hiyo kuchapa kazi kwa bidii
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amehimiza watendaji wa Ofisi hiyo kuendelea kuchapa kazi kwa bidii ili kufikia malengo yaliyowekwa katika hifadhi endelevu ya…
JKCI yatoa huduma mpya maonesho ya Sabasaba
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimsikiliza mtaalamu wa kutumia kifaa cha DOZEE kutoka kampuni ya Sakaar Healthtech Limited Yusuph Abdallah aliyekuwa akimuelezea namna kifaa maalumu kijulikanacho kwa jina la DOZEE kinachotumika kufuatilia maendeleo…
TANROADS Geita yatekeleza maagizo ya Waziri Bashungwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetekeleza maelekezo ya Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kwa kukamilisha Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa Kina wa Barabara ya Ushirombo – Nyikonga – Katoro (58km). Kipande cha Nikonga – Kashelo…
GCLA yawashauri wananchi kutembelea banda lao Sabasaba
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewataka wananchi kutembelea banda lao katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) kujionea shughuli mbalimbali wanazofanya ili kujifunza kuhusu masuala ya kemikali….
TAWA yanadi fursa za uwekezaji Maonesho ya 48 ya Kimataifa Sabasaba 2024
Na Beatus Maganja, JamhuriMedia,Dar es Salaam. MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea Jijini Dar es Salaam kuhamasisha Umma wa watanzania wawekezaji na wageni kutoka mataifa mbalimbali kuwekeza katika maeneo inayoyasimamia…
Kamishna Luoga awataka wafanyakazi Wizara ya Nishati kuongeza kasi, umakini kwenye utendajikazi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga amewataka Wataalam katika Wizara ya Nishati na Taasisi zake kujikita katika kufanya kazi kwa kasi, umakini na bidii ili kuwafikishia wananchi nishati ya uhakika…