Latest Posts
Sakata la sukari bado gumzo bodi yatoa ufafanuzi namna vibali vilivyotolewa
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania, Prof. Kenneth Bengesi, amesema wanaendeleza mchakato wa majadiliano na wadau wa sekta hiyo nchini lengo ni kuhakikisha maslahi ya umma na wadau yanalindwa. Amefafanua hayo Mwishoji…
Waziri Makamba aongoza kikao cha mwaziri nchi 15 za Jumuiya za EAC
Na Mwandishi Wetu, JamuhuriMedia, Zanzibar Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba (Mb) ameongoza Mkutano wa faragha wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na wanaoshughulikia masuala ya Afrika Mashariki katika Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika…
MAIPAC yazindua mradi wa mazingira, kupewa kiwanja Monduli
*Maarifa ya asili ya Wahadzabe katika uhifadhi kuandikwa Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Monduli Taasisi ya wanahabari ya Usaidizi wa Jamii za Pembezoni (MAIPAC) imezindua mradi wa uhifadhi wa mazingira kwa kutumia maarifa ya asili huko Halmashauri ya Monduli na kuahidiwa kiwanja…
Vyama vya ushirika vyatakiwa kuboresha huduma kwa wanaushirika
๐ Dkt. Biteko azitaka Kampuni za ushirika kurejesha rasirilimali kwa jamii ๐ Maafisa ushirika watakiwa kutengeneza Sura ya Ushirika ๐ Benki ya Ushirika wa mazao kuanzishwa ๐Watanzania wanahimizwa kujisajili kwenye Bima ya mazao ๐ Serikali imetoa bilioni 13 ruzuku kwa…
Prof. Mkumbo: Wananchi wanataka suala la afya lipewe kipaumbele
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema baadhi ya wananchi waliohojiwa na tume inayotayarisha Dira ya Taifa 2050 wametaka suala la kuboresha huduma za afya liwe kipaumbele….
Waziri Ummy: Sekta ya Afya izingatiwe katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema sekta ya afya ni amesema Sekta hiyo ni nyeti na kwa unyeti wake lazima kuzingatiwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Ameyasema hayo leo Julai 06,…