JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Samia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bwawa la Mkomazi

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuweka Jiwe la msingi la ujenzi wa Bwawa la Mkomazi pamoja na kushuhudia utiaji saini wa mikataba miwili ya ujenzi wa Skimu za Mkomazi na Chekelei Wilayani Korogwe, mkoani Tanga.  Kwa Mujibu wa Taarifa…

Serikali yaweka msisitizo ujenzi uchumi wa kidijitali

*Yaguswa ubunifu tuzo za kihistoria TEHAMA 2025 Na Mwandishi Maalumu, JamhuriMedia, Arusha JIJI la Arusha limeandika historia ya kuwa mwenyeji wa kwanza wa Tuzo za TEHAMA Tanzania, huku Serikali ikiahidi kufanya kila linalowezekana katika kuikuza sekta ya TEHAMA ikiwa ni…

Wakandarasi wasimamiwe kutekeleza miradi ya nishati kwa wakati – Kapinga

📌Aagiza wasimamiwe kwa karibu kumaliza miradi 📌Awataka Watendaji TANESCO kuwa na mahusiano mazuri na wananchi Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewataka watendaji wa Sekta ya Nishati kuwajengea uwezo watoa huduma wanaotekeleza miradi mbalimbali ya sekta ya nishati nchini….

Wataalam wa kisheria Pwani wahamasishwa kutoa haki kupitia Mama Samia Legal Aid- Mchatta

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani SERIKALI imewajumuisha wataalam zaidi ya 40 wa kisheria kutoka halmashauri tisa mkoani Pwani kwa lengo la kutoa elimu ya kisheria na utatuzi wa migogoro kwa wananchi, ili kurahisisha utendaji katika utekelezaji wa kampeni ya Msaada…

EACOP yashinda tuzo ya ‘Afya na Usalama’ kazini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) umeshinda tuzo ya kujali ‘Afya na Usalama’ kazini kwa mwaka wa 2024/2025 inayotolewa na taasisi isiyo ya kiserikali ya Afya na Usalama Kazini…

ACT -Wazalendo : Mwaka 2025 ni mwaka wa mabadiliko

………………… .Hotuba ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndg. Dorothy Jonas Semu kwa Halmashauri Kuu tarehe 23 Februari, 2025 Ndugu Mwenyekiti wa ChamaNdugu Makamu Mwenyekiti BaraNdugu Makamu Mwenyekiti ZanzibarNdugu Viongozi, wajumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati KuuNdugu Mwenyekiti wa…