Latest Posts
Wananchi wafurahia banda la EACOP Sabasaba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam WANANCHI na wadau mbalimbali wamejitokeza kwa wingi kutembelea Banda la Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maraarufu…
Mama Samia Legal Aid yawa kimbilio wananchi wasiomudu gharama za mawakili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMPENI ya Mama Samia Legal Aid (MSLAC) ilivyoanzishwa mapema mwaka jana na Wizara ya Katiba na Sheria imeleta manufaa makubwa muda mfupi tangu kuanzishwa kwake kwa watu wengi kunufaika na msaada wa kisheria…
OSHA yapima wananchi 300 Sabasaba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) umesema Maonesho ya 48 ya Biasahara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) maarufu Sabasaba yanafanyika katika Viwanja vya Julius Nyerere yamekuwa ya manufa ambapo…
Waziri Mkuu : Watanzania limeni maparachichi
*Silinde asema sh. bilioni 3.4 kujenga kiwanda, ahimiza wananchi wauze mahindi NFRA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wana-Iringa na Watanzania kwa ujumla waingie kwenye kilimo cha Parachichi kwa kuwa zao hilo linachochea ukuaji wa uchumi. Amesema kuwa katika kipindi cha…
CPA MAKORE: Waleteni VETA wenye mahitaji maalum wapate ujuzi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (VETA) CPA Anthony Kasore ametoa wito kwa jamii kuacha kuwafungia watu wenye mahitaji Maalum na badala yake wawapeleke VETA kupata ujuzi wa aina…
Katibu Gavu: Vijana jitokezeni kugombea nafasi za uongozi
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Vijana wameshauriwa kuanzia mwaka huu 2024 waache kulalamika kuwa hawapewi nafasi za uongozi hivyo wajitokeze kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali ili wapate kushika hatamu kuongoza nchi yao ikiwemo ubunge, udiwani, unyekiti wa Serikali…