Latest Posts
Daraja la kilomita 24 lafunguliwa China
Hatimaye China imefungua daraja lake linalopita baharini la kilomita 24 likiunganisha mji wa Shenzhen na Zhongshan katika Mkoa wa Guangdong, kusini mwa taifa hilo. Daraja hilo linaanzia kwenye makutano ya uwanja wa ndege wa Shenzhen na kuungana na Kisiwa cha Ma’anshan…
Wazawa wapokwa zabuni
*Ni ya kulinda Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki*Kampuni ya kigeni iliyopata kazi ya kulinda haipo eneo la mradi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya Ulinzi ya Garda World Tanzania Limited inayomilikiwa na raia wa Canada…
Waziri Silaa kuunda timu ya wataalamu wa ardhi kufanya uhakiki wa mipaka, historia Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani WAZIRI wa ardhi, Jerry Silaa amewahakikishia wakazi wa Mbala,Pingo -Chamakweza Chalinze mkoani Pwani kuwa atapeleka timu ya watalaamu wa ardhi ili kufanya uhakiki wa mipaka katika mgogoro uliodumu kwa miaka 25 ambao bado haujapata suluhu. Aidha…
Rais Nyusi kufungua maonesho ya Sabasaba kesho
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi atatoa hotuba ya ufunguzi wa maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu Sabasaba kwa kutumia…