JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tanzania, Qatar kushirikiana sekta ya utalii

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi ya Qatar ziko mbioni kusaini Hati ya Makubaliano (Memorandum of Understanding-MOU) kushirikiana katika nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii. Hayo yamebainika leo…

UDOM yajielekeza kwenye tafiti zinazotatua changamoto za jamii

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimesema kuwa kimejielekeza kufanya tafiti zinazotoa majibu ya changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii ili kuhakikisha kunakuwa na ustawi kwa Watanzania. Akizungumza kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa…

Majimbo yote ya uchaguzi Mwanza kupata barabara za kiwango cha lami – Mhandisi Ambrose

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Katika kipindi cha mwaka 2023/2024 serikali imetekeleza miradi 7 ya maendeleo katika mkoa wa Mwanza yenye urefu wa kilomita 39 ambapo gharama za miradi hiyo ni Shilingi Bilioni 56.038 ambapo majimbo yote ya uchaguzi yatapata…

Mtendaji, wakala wa pembejeo hatiani kwa kughushi nyaraka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewahukumu Kaimu Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Kimondo, Mwenyekiti wa Kamati ya Pembejeo za Kilimo katika Kijiji cha Kimondo na Wakala wa Pembejeo wa Kampuni ya Highlands Seed Growers Limited…

UVCCM kuzindua Kampeni Maalum Julai 6, mwaka huu

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umewataka vijana na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa kampeni maalumu ya vijana itakayo jadili fursa zilizopo kwa vijana katika jamii. Akizungumza…