JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Benki ya NMB yaweka viwango vipya vya ubora wa ajira na ustawi wa wafayakazi nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika mazingira ya sasa hivi ya ajira yenye ushindani mkubwa wa kuvutia na kuhifadhi vipaji bora, Benki ya NMB imeendelea kuwa mwajiri kinara nchini na chaguo pendwa la wafanyakazi wa kada zote. Kupitia…

Wanaharakati Kenya waandamana kupinga kesi dhidi ya Besigye

Mashirika ya kiraia nchini Kenya na mengine ya kimataifa yamefanya maandamano ya amani hii leo ya kupinga kushikiliwa kwa wafungwa kinyume cha sheria na utekaji nyara wa kiongozi wa upinzani wa Uganda, Kizza Besigye. Mashirika ya kiraia nchini Kenya na…

Ugonjwa usiojulikana waua zaidi ya watu 50 nchini Kongo

Kwa mujibu wa madaktari waliopo katika eneo hilo na shirika la afya duniani WHO, zaidi ya watu 50 wamefariki kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na ugonjwa usiojulikana. Mkurugenzi wa hospitali ya Bikoro, kituo cha ufuatiliaji wa…

Warithi wa Mfugale wapambana kortini

*Jaji abariki wosia uliomweka pembeni mke wa ndoa, watoto 15 *Upande wa mlalamikaji washangaa Mahakama kudharau ndoa ya Kikatoliki Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Uamuzi wa Mahakama Kuu wa kutotambua cheti cha ndoa ya Kikristo umeacha maswali mengi…

Polisi Rukwa kuwasaka waliofukua kaburi na kuondoka na mwili wa marehemu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linawatafuta watu waliohusika kufukua kaburi la Julius Ladislaus (24) aliyefariki Novemba mwaka jana na kuondoka na mwili wa marehemu. Akizungumza na waandishi wa habari jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa…