Latest Posts
Taasisi 1,147 zajiandikisha kwenye mfumo mpya wa ununuzi kielekloniki (NeST)
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa hadi sasa taasisi nunuzi 1,147 zimeshajiandikisha kwenye mfumo mpya wa ununuzi wa kielektroniki (NeST) pamoja na wazabuni zaidi ya 22,000 kutoka katika makundi makuu matatu ambayo sheria mpya ya Mamlaka hiyo…
Serikali yachochea kuongezeka kwa mapato MSD
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk Samia Suluhu Hassa, imeiongezea nguvu Bohari ya Dawa (MSD), na kuchangia kuleta mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuongeza mapato. Lengo la uwekezaji huo ni kuiwezesha…
Eric Omond atangaza kwenda Ikulu kuonana na Rais Ruto
Mchekeshaji Eric Omondi wa Kenya amemuomba rais wa nchi yao, William Ruto kuwafukuza kazi makatibu mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wote wa mashirika ya umma kabla ya Alhamis wiki hii. Omondi amesema Wakenya wamepoteza imani kwa Serikali yote ya Ruto…
Mwanafunzi UDOM achora picha inayomuelezea Rais Samia akiwa katika majukumu matatu ya kitaifa
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Enock Tarimo amechora picha ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inayomwelezea akiwa katika majukumu matatu ya kitaifa ambayo imekuwa kivutio kikubwa kwa…
Kigamboni waanza kuunganishiwa huduma ya maji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire amesema kuwa Mamlaka imeanza utekelezaji wa agizo la Waziri wa Maji Jumaa Aweso la…
Kiswahili kiwe lugha rasmi ya saba ya Umoja wa Mataifa
Na Richard Mtambi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Maadhimisho ya Tatu ya Siku ya Kiswahili Duniani 2024, yalifanyika Julai 3, 2024 nchini Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na duniani kote lugha ya Kiswahili inakozungumzwa. Lengo la Maadhimisho haya ni kuitikia wito wa…