Latest Posts
ETDCO yajipanga kukamilisha miradi yake, yakaribisha wadau
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKURUGENZI wa Huduma za Ufundi kutoka Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO), Dismas Massawe amejipanga kuhakikisha miradi wanayoitekeleza inakamilika kwa wakati. Akizungumza katika banda la…
Kocha Rhulan Mokwena wa Mamelod kutua Wydad
Na Isri Mohamed Aliyekuwa kocha wa klabu ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini, Rhulan Mokwena anatarajiwa kutambulishwa kuwa Kocha mkuu wa Wydad Athletic Club ya nchini Morocco. Kocha Rhulan ambaye anakwenda kuchukua mikoba ya Aziz Ben Askar, tayari ameshatua nchini…
TMDA yawataka wananchi kuacha kutumia dawa kiholela
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Adam Fimbo, ametoa wito kwa wananchi kuzingatia matumizi ya dawa na kuacha kutumia kiholela na badala yake wafuate ushauri wa daktari. Ametoa wito…
Mhandishi Mramba aipongeza EWURA kwa kazi nzuri wanayoifanya
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati (EWURA) kwa huduma nzuri ambayo wamekuwa wakiifanya. Aidha Mhandisi Mramba amesema kuwa Wizara hiyo itaendelea kuisaidia…
Trafiki wanne wafukuzwa kazi Kilimanjaro
Mtakumbuka Mei 30,2024, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kushikiliwa Askari Polisi wanne (4) kwa ajili ya uchunguzi. Askari hao walikuwa wanafanya kazi kitengo cha usalama barabarani Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro. Baada ya uchunguzi kukamilika ilibainika kuwa, askari hao…
Namtumbo waomba huduma za kibingwa za uchunguzi na matibabu ya moyo zinakuwa endelevu
Na Cresensia Kapinga, JamuhuriMedia, Namtumbo WAKAZI wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, wameiomba Serikali kuhakikisha huduma za kibingwa za uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo zinakua endelevu ili kuwafikia wananchi wengi hasa wanaoishi maeneo ya vijijini. Wametoa ombi hilo…