JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

UN yaanza kuchunguza uhalifu wa kivita Darfur

Jopo la wataalamu lililoundwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewasili nchini Sudan kuchunguza madai ya uhalifu wa kivita uliofanywa na Jeshi la wanamgambo wa (RSF) katika eneo la magharibi la Darfur. Timu hiyo iliwasili katika mji wa…

Naibu Waziri Londo azinadi fursa za kiuchumi nchini Urusi

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Dennis Londo amezinadi fursa za mbalimbali za kiuchumi ikiwemo uwekezaji, biashara na utalii nchini Urusi wakati alipokutana kwa mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo…

‘Kukamilika mradi wa umeme Rusumo kunazidi kuimarisha gridi ya Taifa’

*Ni mradi wa megawati 80 unaotekelezwa na Tanzania, Burundi, Rwanda *Kila nchi yafaidika na megawati 26.6  *Kamati yasema mradi utazidi kuimarisha uhusiano mzuri wa Tanzania, Burundi, Rwanda Imeelezwa kuwa, mradi wa kufua umeme unaotokana na maji wa Rusumo, umeanza kuzalisha…

‘Tumieni mapato ya ndani kutekelea miradi’

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI chini ya Mwneyekiti wake Mhe. Justin Nyamoga imeelekeza Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kutekeleza miradi mbalimbali kupitia mapato ya ndani kwani ni miongoni…

Pakistan: Zaidi ya watu 17 wameuawa katika mlipuko kwenye kituo cha treni

Watu zaidi ya 17 wameuawa katika mlipuko kwenye kituo cha treni katika wilaya Balochistan nchini Pakistan wakiwemo wanajeshi 14 , mamia ya wengine wakiripotiwa kujeruhiwa kwa mujibu wa taarifa ya polisi. Mamlaka imeliambia Shirika la Habari la AFP kwamba huenda…