JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tume ya Madini kuboresha vifungashio vya madini ili kudhibiti utoroshaji

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya Madini imesema ipo kwenye mchakato wa kuboresha vifungashio vya madini katika masoko ya madini nchi nzima ikiwa ni mkakati wa kuendelea kudhibiti utoroshaji wa madini. Hayo yamesemwa na Mteknolojia Maabara kutoka…

NIT yawataka vijana kuchangamkia fursa masomo ya kimkakati

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chuo cha Taifa Usafirishaji (NIT), kimetoa wito kwa vijana waliohitimu kidato cha nne kuchangamkia fursa ya kuomba kujiunga kozi za kimkakati za Chuo ambazo katika mwaka wa masomo wa 2024/2025 zimepata upendeleo wa…

Wakala wa Forodha mbaroni kwa tuhuma kumuua rafiki yake na kumwibia milioni 61/-

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia Dar es Salaam Mtu mmoja ajulikanaye kwa jina la Mussa Khamis Bakari maarufu ‘buda ‘ (30) , Wakala wa Forodha, mkazi wa Temeke anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya Abdallah Twahir Selemani…

Pinda amrejeshea nyumba bibi aliyoihangaikia kwa zaidi ya miaka 10 Kigoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amemrejeshea nyumba Leticia Benedict Choma mwenye umri wa zaidi ya miaka 80 mkazi wa Kigoma Ujiji baada ya kuihangaikia kwa zaidi ya miaka 10…

UDSM, OSLO ilivyodhamiria kupunguza mtanziko katika utoaji huduma za afya nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya KATIKA mfumo wa afya wa Tanzania, watoa huduma za afya wanakutana na changamoto nyingi za kimaadili wakati wa kufanya maamuzi ya kutibu wagonjwa. Changamoto hizi, ambazo mara nyingi huleta mitanziko (dilemma), zinaweza kusababisha vifo kwa…