Latest Posts
Serikali, wadau waombwa kusapoti mashindano ya Lina PG Tour
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro SERIKALI wakiwemo wadau mbalimbali wa michezo hasa wa gofu wameombwa kusapoti mashindano ya Lina PG Tour yanayofanyika kila mwaka kwa lengo la kumuenzi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake marehemu Lina Nkya….
Serikali, sekta binafsi kuimarisha huduma za fedha nchini
📌 Dkt. Biteko afungua tawi la Exim Benki Kahama 📌 Exim yachangia vifaa vya matibabu vya shilingi milioni 25 Hospitali ya Wilaya Kahama Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Uzinduzi wa tawi la Exim Bank Kahama…
TEA kufadhili miradi 113 ya kuboresha miundombinu ya elimu
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2024/25 Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)imepanga kufadhili jumla ya miradi 113 ya kuboresha miundombinu ya elimu katika shule za msingi na Sekondari kwenye maeneo mbalimbali nchini yenye thamani ya sh.bil.11.3….
Watumishi Tume ya Madini wajengewa uwezo matumizi ya mashine za kupima madini ya metali
Katibu Mtendaji awataka kuendelea kuchapa kazi kwa kujituma na uadilifu Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo amewataka watumishi wa Tume kufanya kazi kwa kujituma na weledi hasa kwenye usimamizi wa shughuli za…
Benki ya NMB yaweka viwango vipya vya ubora wa ajira na ustawi wa wafayakazi nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika mazingira ya sasa hivi ya ajira yenye ushindani mkubwa wa kuvutia na kuhifadhi vipaji bora, Benki ya NMB imeendelea kuwa mwajiri kinara nchini na chaguo pendwa la wafanyakazi wa kada zote. Kupitia…