Latest Posts
Wanafunzi, walimu wanusurika kifo baada ya jengo la darasa kuanguka Same
Na Ashrack Miraji,JamhuriMedia, Same Wanafunzi 30 pamoja na mwalimu mmoja wa Shule ya Sekondari Tumaini Jema, iliyopo wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya jengo moja la darasa walilokuwa wakisomea kuanguka kutokana na upepo mkali. Wanafunzi hao pamoja na…
Wasira azungumza na Sumaye
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Bara, Stephen Wasira akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, baada…
Bondia Matumla kuzichapa na bondia kutoka Namibia Paul Amavila Februari 28
Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar es Salaam BONDIA Amiri Matumla,anatarajia kupanda ulingoni Februari 28, mwaka huu, kupambana na mpinzani wake kutoka Namibia, Paul Amavila. Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es salaam leo, Feb 25, 2025 na Mkurugenzi wa Mafia…
Waziri Gwajima : Bado kunahitajika msukumo mkubwa kutoa elimu ya unyanyasaji Arusha, Manyara
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Maendeleo ya Jamii , Jinsia ,Wanawake na Makundi Maalumu Dk Dorothy Gwajima amesema bado kunahitajika msukumo mkubwa wa kutoa elimu kwa jamii katika mikoa ya Arusha na Manyara,ambayo bado kiwango cha unyanyasaji ni…
DBS yapanga kupunguza ajira 4,000 kwa miaka mitatu kutokana na AI
Benki kubwa ya Singapore, DBS, imetangaza mpango wa kupunguza ajira 4,000 ndani ya kipindi cha miaka mitatu ijayo, hatua inayotokana na kuongezeka kwa matumizi ya teknolojia ya akili mnemba (AI) katika shughuli zake. Kupunguzwa kwa ajira kutafanyika kupitia njia za…
Mwendesha Mashtaka wa ICC awasili DRC kwa uchunguzi wa uhalifu wa kivita
Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan, amewasili katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwa lengo la kuimarisha juhudi za kuchunguza uhalifu unaoripotiwa kufanyika katika maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo. Ziara yake inafanyika wakati…