JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

DAWASA yaahidi uhakika wa uzalishaji wa maji Dar

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa uwezo wa uzalishaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam umeongezeka kutoka lita…

‘Dawa mpya za kulevya na dawa tiba zenye asili ya kulevya tishio duniani’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BALOZI na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa na Mashirika ya Kimataifa, Vienna,Naimi Sweetie Hamza Aziz amezitaka nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa…

RC Chalamila aingilia kati sakata la mjane kutolipwa haki zake na Hospitali ya Amana

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amekutana na Martha ambaye siku za hivi karibuni amesikika kupitia mitandao ya kijamii kuwa anaidai Hospitali ya Rufaa ya Amana zaidi ya shilingi milioni 3 kutokana na kufanya kazi ya…

Barabara Kimara-Mavurunza-Bonyokwa-Kinyerezi kuwa ya lami

Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeanza ujenzi wa barabara ya Kimara – Mavurunza – Bonyokwa hadi Kinyerezi , jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita saba kwa kiwango cha lami. Ujenzi wa barabara hiyo unatekelezwa na kampuni…

BRELA yawanoa waadishi wa habari wa Jamhuri Media

Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imetoa mafunzo ya usajili na rasimishaji wa biashara kwa wafanyakazi wa Kampuni ya Jamhuri Media. Akizungumza baada ya mafunzo hayo yaliyofanyika katika ofisi za kampuni hiyo…

TANAPA yavunja rekodi tena

*Makusanyo yagonga Sh bilioni 411 kwa miezi 7 *Wizara yaipa mwelekeo ikusanye Sh trilioni 1 *Sinema ya The Royal Tour yatajwa kuwa chachu Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limeendelea kuvunja rekodi ya…