JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

DBS yapanga kupunguza ajira 4,000 kwa miaka mitatu kutokana na AI

Benki kubwa ya Singapore, DBS, imetangaza mpango wa kupunguza ajira 4,000 ndani ya kipindi cha miaka mitatu ijayo, hatua inayotokana na kuongezeka kwa matumizi ya teknolojia ya akili mnemba (AI) katika shughuli zake. Kupunguzwa kwa ajira kutafanyika kupitia njia za…

Mwendesha Mashtaka wa ICC awasili DRC kwa uchunguzi wa uhalifu wa kivita

Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan, amewasili katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwa lengo la kuimarisha juhudi za kuchunguza uhalifu unaoripotiwa kufanyika katika maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo. Ziara yake inafanyika wakati…

Msaada wa kisheria wa Mama Samia wawafikia wanafunzi Chalinze

Na Mwamvua Mwinyi, JammhuriMedia, Chalinze Baadhi ya wanafunzi kutoka jimbo la Chalinze, mkoani Pwani, wamejitokeza katika kampeni ya msaada wa kisheria ya MAMA SAMIA, kutoa changamoto zinazowakabili katika malezi na matunzo ili kupata ushauri wa kisheria na ufumbuzi. Vilevile, baadhi…

Serikali imeimarisha ushiriki wa wanawake katika uongozi na shughuli za kiuchumi – Kapinga

📌 Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani atoa wito wa kushikamana Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa Serikali imeboresha mazingira ya wanawake nchini ili waweze kushiriki kikamilifu kwenye shughuli za kiuchumi, maendeleo ya Tanzania na kushika nafasi za uongozi. Mhe….

Kamati ya Maendeleo Bunge la Ulaya lafanya ziara nchini

Na Lookman Miraji Kamati ya maendeleo ya bunge la Ulaya limeanza ziara yake nchini hii leo, Februari 25. Ziara hiyo inafanyika nchini ikiwa na lengo la kuimarisha mahusiano kati ya Umoja wa Ulaya katika suala Zima la maendeleo endelevu. Kwa…

Serikali ya India yachangia dola bilioni 1 kusaidia upatikanaji maji Korogwe

Na Lookman Miraji Serikali ya India kupitia balozi wake nchini Bishwadip Dey imechangia Dola billioni 1.1 kusaidia upatikanaji wa maji katika miji 28. Mradi huo unaofadhiliwa na serikali ya India umelenga kusaidia upatikanaji wa maji safi ya kunywa kwa wakazi…