Latest Posts
BASATA yamfungia Babu wa Tiktok
Msanii wa Muziki wa Taarabu Seif Kisauji βBabu wa Tik tokβ afungiwa kufanya kazi za Sanaa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Miezi sita na kupigwa faini ya shilingi Milioni 3. Baraza la Sanaa la Taifa kupitia Sheria Na….
Ziara ya Dk Biteko Bukombe yawakosha wakazi
ZIARA YA DKT. BITEKO BUKOMBE YAWAKOSHA WAKAZI KATA NAMONGE π Waipongeza Serikali ya Rais Samia kuboresha huduma za jamii π Waomba kujengewa Barabara kusafirisha mazao π Dkt. Biteko aagiza kukamilishwa, kutumika Zahanati Kijiji Ilyamchele π Awahakikishia ukarabati wa Barabara ipitike…
NIDA : Vitambulisho vilivyofutika maandishi virejeshwe
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wananchi wote ambao vitambulisho vyao vimepata hitilafu ya kufutika maandishi kuvirejesha katika ofisi za NIDA ama katika ofisi za Serikali za Mitaa, Kata, Vijiji na Shehia ambako vitakusanywa na kurejeshwa kwa ajili ya…
Samia kugharamia tiba mtoto aliyenusurika kuchinjwa
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema atalipia gharama zote za matibabu kwa mtoto aliyekatwa na kitu chenye ncha kali shingoni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema mtoto huyo Maliki Hashimu (5) mkazi wa Goba mkoani Dar es Salaam anatibiwa katika…