JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Msafara wa wachezaji wawasili Paris kushiriki Olympic

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kundi la kwanza la Timu ya Tanzania itayoshiriki Michezo ya Olimpiki nchini Ufaransa limewasili salama jijini Paris asubuhi ya jana. Kundi hilo la kwanza lina waogeleaji wawili, Sophia Anisa Latiff na Collins Phillip…

Meli yenye bendera ya Tanzania yazama Taiwan

Maafisa wa uokoaji nchini Taiwan wanatafuta meli ya mizigo iliyokuwa na wafanyakazi tisa ambayo imezama kwenye pwani yake ya kusini. Meli hiyo yenye bendera ya Tanzania ilikuwa imetoka katika bandari ya kusini ya mji wa Kaohsiung wakati Taiwan ilipokumbwa na…

Meli za kivita kutoka China zawasilia nchini kuadhimisha miaka 60 ya JWTZ

Meli tatu za kivita za Jeshi la Ukombozi wa Watu wa China  zimewasili katika Bandari ya Dar es Salaam zikiwa na wanajeshi kadhaa kwa ajili ya kushiriki mazoezi ya pamoja na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ikiwa ni sehemu  maadhimisho…

Ruto ateua vigogo wa upinzani kuwa mawaziri

Rais wa Kenya William Ruto amewateua vigogo wanne wa upinzani katika baraza lake la mawaziri, ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja wa maandamano ya kupinga serikali. Rais wa Kenya William Ruto amewateua vigogo wanne wa upinzani katika baraza lake la…

Kadi za NEC kutumika chaguzi zijazo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kadi za mpiga kura zilizotolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC) mwaka 2015 na 2020 zitaendelea kutumika kwenye chaguzi kuu zijazo. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Ramadhan Kailima…

TAWA yatoa madawati shule ya Msingi Changarawe wilayani Mvomero

Na Mwandishi wetu,JamuhuriMedia, Morogoro MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imetoa msaada wa madawati 60 yenye thamani ya Shillingi Millioni 5 (5,000,000) kwa Shule ya Msingi Changarawe iliyopo kata ya Mzumbe, Kijiji cha Changarawe wilayani Mvomero Mkoa wa…