JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Zambia yajifunza usimamizi madeni ya ndani Tanzania

TIMU ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Zambia, imefanya ziara ya mafunzo katika Wizara ya Fedha Tanzania. Lengo la mafunzo ni lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya uendeshaji ikiwemo usimamizi wa madeni ya ndani. Mafunzo hayo yamefanyika Ofisi…

Uchumi wa bluu kuinua pato na maendeleo wilayani Mafia

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia  Viongozi, Wadau wa Uvuvi, mazingira na Utalii kutoka Taasisi mbalimbali wakishiriki Kongamano la Uwekezaji kwenye Uchumi wa Buluu, lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri uliopo Chicco. Mgeni rasmi ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani…

Wahitimu DMI waaswa kuzingatia uzalendo kwa manufaa ya taifa

Na Lookman Miraji Wahitimu wa chuo cha bahari cha Dar es salaam (DMI) wameaswa juu ya kuweka mbele suala la uzalendo katika fani hiyo kwa manufaa ya taifa. Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa uchukuzi , David Kihenzile katika…

Watumishi REA watakiwa kufanyakazi kuendana na kasi ya Serikali

đź“ŚAsisitiza kuongeza ubunifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma đź“ŚAwataka kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa maadili đź“ŚWizara ya Nishati yaipongeza REA kwa utekelezaji wa miradi Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu, ubunifu,…

Kiwanja cha ndege Mafia kufanyiwa maboresho ili kuongeza utalii na uwekezaji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Kiwanja cha ndege wilayani Mafia, mkoani Pwani, kinatarajia kufanyiwa maboresho kwa kujengwa jengo jipya la abiria na kusimikwa taa kwenye njia za kutua na kuruka ndege. Maboresho haya yanalenga kurahisisha usafiri wa anga, hususan nyakati…

Sisiwaya awaonya madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani nchini

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka madereva Nchini wameaswa kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuondokana na ajali zisizo za lazima. Hayo yamesemwa na mkuu wa operesheni wa Kikosi cha usalama barabarani Tanzania, Kamishina Msaidizi…