JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Zungu mgeni rasmi mahafali ya tisa Chuo cha Furahika

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano la Tanzania mbaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilala Azzan Zungu anatarawa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya Mahafali ya 9 Chuo cha Furahika Education…

Marekani kuipa Ukraine msaada wa kijeshi wa dola bilioni 1.7

Marekani itatuma msaada wa kijeshi wenye thamani ya dola bilioni 1.7 kwenda Ukraine. Msaada huo unajumuisha makombora ya mifumo ya ulinzi, risasi, mabomu na aina nyingine ya vilipuzi vya kushambulia vifaru na meli za kivita. Hayo yalielezwa na maafisa wa…

Maelefu waandamana Venezuela kupinga ushindi wa Rais Maduro

Vikosi vya usalama nchini Venezuela vimerusha mabomu ya kutoa machozi na risasi za mpira dhidi ya raia waliokuwa wameandamana kwa sababu ya matokeo ya uchaguzi wa Jumapili yenye utata. Maelfu ya watu walikusanyika katikati mwa Caracas Jumatatu jioni, wengine wakitembea…

Kisarawe kunogile, yaja na Bata Msituni Festival ndani ya msitu wa Kazimzumbwi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani inatarajia kufanya tamasha kubwa la Utalii liitwalo BATA MSITUNI INTERNATIONAL FESTIVAL, litakalofanyika katika hifadhi ya msitu ya Pugu -Kazimzumbwi septemba 3-8 mwaka huu. Tamasha hilo litahusisha nchi tatu ikiwemo Tanzania,…

Jenerali Mkunda afungua mazoezi ya medani Umoja 2024, aishukuru Serikali ya Tanzania, China

Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Meja Jenerali Ibrahim Michael  Mhona akizungumza jambo  leo Julai 29, 2024 katika Kambi ya CTC Mapinga iliyopo Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani  wakati wa ufunguzi  wa…

JKCI-DAR GROUP yazindua mtambo wa kisasa wa Oksijeni

TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)–Hospitali ya Dar Group leo imezindua mtambo wa kisasa wa kuzalisha hewa ya oksijeni wenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 500, utakaopunguza gharama za ununuzi wa oksijeni kutoka katika vituo vingine. Mtambo huo…