Latest Posts
Meli ya mizigo kutoka China yatia nanga bandari ya Tanga
Meli kubwa iliyobeba mizigo ya tani elfu 14 kutoka nchini China imetia nanga katika bandari ya Tanga Kwa mara ya kwanzaย ikiwa na shehena za mizigo mbalimbali ikiwemo magari 300. Meli hiyo ya kampuni ya Seefront Shipping Service Ltd, imebeba…
Rais Samia kuzindua rasmi Reli ya mwendo kasi Dar-Dodoma
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassani anatarajiwa kuzindua rasmi Reli ya mwendokasi(SGR)Agosti Mosi mwaka huu iliyoanza safari zake Julai 25 kutoka Dar Es Salaam hadi Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary…
Dk Biteko awakemea watumishi wanaokwamisha wafanyabiashara
๐ Azindua Sera ya Taifa ya Biashara ๐ Awataka Watanzania kujiandaa kushindana ๐ Norway yampongeza Rais Samia kuagiza marejeo mfumo wa kodi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt….
ACT Wazalendo : Wimbi la uporaji na migogoro ya ardhi tunasimama na wananchi
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa msimamo wa kuunga mkono na kuongoza mapambano ya wananchi katika kukabiliana na wimbi kubwa la uporaji wa ardhi nchini. Viongozi wa chama wamesikitishwa kukutana na kero ya migogoro, uporaji na operesheni za Serikali kuwaondoa wananchi…
Watanzania wanga’ara tuzo za kimataifa
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tuzo za Kimataifa za Heshima ambazo hutolewa kwa watu maalum kwa kutambua mchango ambao hutolewa na watu hao katika jamii husika zimefanyika nchini kwa mara kwanza mwaka huu. Tuzo hizo maarufu kama (I-CHANGE…