Latest Posts
INEC yatangaza kuanza mchakato wa kugawa na kubadili majina ya majimbo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo itapokea mapendekezo kuanzia tarehe 27 Februari, 2025 hadi tarehe 26 Machi, 2025….
Rais Samia abariki uwekezaji mkubwa wa shamba la miwa Pangani
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Pangani RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan, amebariki uwekezaji mkubwa wa Wizara ya Kilimo wa shamba la miwa wilayani Pangani mkoani Tanga. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Kumba Wilayani Pangani akiwa katika muendelezo wa…
Jukwaa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Dodoma lampongeza Rais Samia
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma JUKWAA la Uwezeshaji wanawake kiuchumi mkoa wa Dodoma limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupitishwa na mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na kusema watamuunga mkono kufanikisha anapata miaka mingine mitano ya kuongoza…
JKCI yatibu wagonjwa 745,837 kwa Mlmiaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan imeona jumla ya wagonjwa 745,837 ambao kati ya hao watu…
Msajili wa Hazina na CAG kushirikiana katika usimamizi wa Mashirika ya Umma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani, Ikiwa ni sehemu ya dhamira na jitihada za kuhakikisha taasisi na mashirika ya umma yanaongeza mchango katika ustawi wa uchumi wa Taifa, Ofisi ya Msajili wa Hazina na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi zimekubaliana kushirikiana…