Latest Posts
NIC: Wakulima jiungeni na Bima ya Kilimo
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MKURUGENZI wa Masoko na Mawasiliano wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Karimu Meshack ametoa wito kwa Wakulima nchini kujiunga na Bima ya Kilimo. Ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya…
Wasimulia wanavyonufaika na Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Morogoro
Na Mwandishi Wetu, Morogoro WANANCHI wanaopata msaada wa kisheria za mama Samia Legal Aid zinazoendelea kutolewa kwenye maonyesho ya Nane nane mkoani Morogoro wameelezea namna walivyonufaika na huduma hizo. Wakizungumza mkoani hapa jana, wananchi hao walimpongeza Rais Samia Suluhu Hassan…
Simba Day yang’ara
Wachezaji wa Kikosi cha Simba Sc wakishangilia goli wakiwa katika mchezo wa kirafiki wa kuhitimisha Tamasha la 16 la Simba DAY uliopigwa katika dimba la Benjamini Mkapa Agosti 3, 2024, Dar es Salaam, katika mchezo huo wamefanikiwa kuibuka na ushindi…
Wizara ya Nishati, Mtibwa wajadili ujenzi njia ya umeme
📌 Ni ya msongo wa kilovoti 132 📌 Ni kufuatia ombi la Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kiwanda cha Mtibwa 📌 Bilioni 28 kutekeleza miradi ya umeme Vijijini Mvomero Morogoro Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amesema, Wizara ya…
Shindano la ‘KCB East Africa Golf Tour’ laanza rasmi Lugalo gofu
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shindano la Wazi la “KCB East Africa Golf Tour”limeanza Rasmi siku ya Leo katika Klabu ya Gofu ya ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Dar es Salaam. Akizungumza na Wanahabari…