JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Bodi ya Mkonge kuwaunganisha wakulima na masoko

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BODI ya Mkonge Tanzania (TSB), imesema kuwa imekuwa ikiwaunganisha wakulima wa zao hilo na masoko ili wapate soko la bei nzuri. Hayo yamesemwa na Mkuu sehemu ya Maendeleo ya Mkonge kutoka TSB, Saimon…

Rais Samia awaalika wawekezaji Kilombero, Malinyi na Ulanga

📌 Ni kutokana na uwepo wa umeme wa kutosha katika kituo cha umeme Ifakara 📌 Asema Serikali itaendelea kuhakikisha uwepo wa umeme wa kutosha 📌 Vijiji vyote 110 Wilaya ya Kilombero vyafikiwa na umeme Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Kilombero Rais…

DCEA: Kilimo cha bhangi na mirungi kinaondoa uoto wa asili

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema kuwa moja ya madhara ya Kilimo cha bhangi na mirungi ni kuondoa uoto wa asili. Hayo yamebainishwa na Afisa Elimu kutoka DCEA, Said Madadi…

CPA Kasore: Itumieni VETA kupata ujuzi na kujiajiri

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), CPA Anthony Kasore ametoa wito kwa vijana na Watanzania kwa ujumla kutumia vyuo vyao ili kuweza kujiajiri. Aidha amesema kuwa wamejipanga kuhakikisha wakulima…

BRELA yawaita wakulima kusajili nembo, alama za biashara

NaTatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umetoa wito kwa wakulima kutembelea banda lao lililopo katika maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) ili kuweza kusajili nembo na alama za biashara. Hayo yamebainishwa na Ofisa Usajili…

Tarura yajipanga kuhakikisha wakulima wanayafikia masoko kwa kirahisi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema unaendelea na ujenzi wa barabara na madaraja katika maeneo mbalimbali nchini ili kuhakikisha wakulima wanayafikia masoko kwa haraka. Hayo yamebainishwa kwenye Maonesho ya Wakulima na Wafugaji…