Latest Posts
Wanne wadakwa mauaji ofisa TRA
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa wanne kwa mauaji ya mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Amani Simbayao. Watuhumiwa hao ni makuli na wakazi wa Tegeta kwa Ndevu, Dar es Salaam, Deogratius Massawe (40)…
Nchemba awataka wananchi kuacha kushabikia vitendo vya uhalifu
Na Mwandishi wetu WAZIRI wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kuacha kushabikia vitendo vya uharifu na kuepuka kujichukulia Sheria mkononi kwani sio jambo nzuri. Dk Nchemba ametoa kauli hiyo Jijini Dar es salaam mapema leo Desemba 8, 2025 wakati…
Ubalozi wa Iran mjini Damascus washambuliwa – ripoti
Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa ubalozi wa Iran mjini Damascus umeshambuliwa. Video iliyochapishwa na Shirika la Habari la Kiarabu la Al Arabiya inaonesha uharibifu wa sehemu ya nje ya jengo hilo, ikiwa ni pamoja na madirisha yaliyovunjika, na…
Tujenge utamaduni wa kupima afya zetu
Na John Francis Haule, JamhuriMedia, Arusha Kila ifikapo tarehe Mosi Desemba, dunia inaadhimisha Siku ya UKIMWI, ikiwa ni kumbukumbu ya kuelimisha jamii kuhusu ugonjwa wa Virusi vya UKIMWI (VVU) na jinsi ya kuepuka maambukizi yake. Maradhi haya, tangu yalipoanza kuikumba…