Latest Posts
Global Education Link kupeleka kundi la kwanza nje ya nchi wiki ijayo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAKALA wa Elimu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imetoa Visa 100 kwa kundi la kwanza la wanafunzi wanaotarajia kuanza kwenda kwenye vyuo vikuu mbalimbali nje ya nchi kuanza masomo hayo kuanzia…
RC Ruvuma awakumbusha viongozi kuzingatia sheria, kanuni ili kurahisisha utendajikazi
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahamed Abbas Ahamed amewataka Maofisa Tarafa na Watendaji wa Kata mkoani Ruvuma kuona umuhimu wa kuwa na usikivu na udadisi katika kujifunza na kujadili masuala mbalimbali ambayo yatawawezesha katika…
TFRA yawataka wakulima kujisajili mapema katika mfumo wao
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), imetoa wito kwa Wakulima kujisajili katika mfumo wao pamoja na kutoa taarifa zilizo sahihi ili kuweza kupata mbolea ya ruzuku. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa uzalishaji wa…
Wengi waliotembela banda la GCLA Nanenane wametaka kujua kuhusu DNA, kemikali
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MENEJA wa Kanda ya Kati kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Gerald Mollel amesema wengi waliojitokeza katika banda lao la maonesho ya kitaifa ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) wametaka kufahamu huduma…
TPHPA yawashauri wakulima kuendelea kutumia mbegu za asili
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu (TPHPA) imetoa wito kwa wakulima nchini kuendelea kutumia mbegu za asili ili zisiweze kupotea. Wito huo umetolewa na Kaimu Meneja wa Kitengo cha Uhifadhi wa Bioanuai kutoka Mamlaka…
DASPA: Wakulima tumieni mbegu ya mtama aina ya TARUSOR1
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma WAKULIMA wa zao la Mtama wameshauriwa kutumia mbegu ya mtama aina ya TARISOR1 kwa kuwa mtama huo hauliwi na ndege kama ilivyo kwa mtama mwingine. Ushauri huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Wakulima…