JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Balozi Kombo, Chumi wateta na Makamu wa Kwanza w Rais Zanzibar

Na Andrew Chale, JamhuriMedia, Zanzibar WAZIRI wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Naibu wake katika Wizara hiyo, Cosato Chumi wamejitambulisha rasmi na kufanya mazungumzo Ofisini kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa…

Idara ya uhamiaji Arusha yakamata raia saba wa Ethiopia kwa kuingia nchini kinyemela

Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Arusha 08/08/2024 majira ya saa mbili usiku katika maeneo ya Kisongo imekamata raia (04) wa Ethiopia kwenye gari aina ya Toyota Land Cruser Station Wagon GX yenye namba za usajili T 801 AGJ, baada ya…

Kamati ya Bunge ya Bajeti yaahidi kuupa msukumo mradi wa EACOP

📌 Yampongeza Rais Samia kutekeleza miradi inayoleta mageuzi ya kiuchumi 📌 Dkt. Mataragio asema mradi umefikia asilimia 39.2 📌 Tanzania kufaidika na shilingi trilioni 2.3 kipindi cha ujenzi na uendeshaji 📌 EACOP yawezesha manunuzi ya USD milioni 462 Na Mwandishi…

JKT kinara wa jumla maonesho ya Nanenane

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limeshinda tuzo ya jumla kwenye maonesho ya wakulima(Nanenane)yaliyofanyika kitaifa Dodoma kutokana na ufanisi wake katika kilimo na uthibitisho wa juhudi zake katika kuboresha uzalishaji wa mazao na kuleta maendeleo ya kilimo…

Serikali kuongeza fursa za kidigitali kwa vijana kuleta maendeleo kiuchumi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ifikapo Agosti 12,Serikali imesema itaendelea kuzingatia matumizi ya fursa za kidijitali kwa vijana ili kuwapa fursa ya maendeleo endelevu kwa kuwapatia ujuzi wa kidijitali ili kuleta maendeleo ya kiuchumi na…

NFRA yaanza kutumoa mizani ya kidigitali kupimia mazao

Na Richard Mrusha, JamhuriMedia, Dodoma WAKALA wa Uhifadhi wa Chakula Nchini (NFRA) ,umeanza kutumia mfumo wa kidijitali katika kupima mazao ya Nafaka ili kuleta tija kwa wakulima. AFISA Mtendaji Mkuu wa NFRA Dkt.Andrew Komba ameyasema hayo katika maonesho ya wakulima…