JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ndumbaro asitisha ujenzi wa shule eneo la michezo Dar

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameagiza kusitishwa maramoja kwa ujenzi wa shule ya msingi katika eneo la michezo lililopo mtaa wa  Panga, Tegeta Wazo Jijjini Dar es Salaam. Mhe. Ndumbaro amefikia uamuzi huo kufuatia pingamizi…

Waziri Kombo kushiriki mkutano wa Mawaziri wa SADC, Harare

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili Harare, Zimbabwe kushiriki Mkutano wa Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utakaofanyika tarehe 13 na 14 Agosti, 2024 Mkutano huo…

Hospitali ya Temeke yazindua kituo cha kusafishia damu

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia Dar es Salaam Wananchi wameendelea kuhimizwa kufanya Mazoezi kwa bidii na kupunguza hali ya ulaji wa vyakula usiofaa ili kusaidia kuepukana na Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ikiwemo Sukari,Shinikizo la Damu, moyo mkubwa na Afya ya akili ambayo…

Ujenzi wa daraja la J.P Magufuli upo asilimia 90 ya utekelezaji

Mwonekano wa Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) Kilometa 3.2 linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara – Sengerema – Geita kupita Ziwa Victoria na ujenzi wa barabara unganishi ya Kilometa 1.66 ambapo utekelezaji unaendelea na upo asilimia…