Latest Posts
Uwekezaji wavutia meli kubwa China kutia nanga Bandari ya Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeendelea kupokea meli kubwa za mizigo katika bandari yake ya Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mafanikio baada ya uwekezaji mkubwa kufanyika katika bandari hiyo…
Ngorongoro wathibitisha kuachana na matumizi ya kuni
đź“ŚWajitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya ruzuku Wakazi wa Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha wameitikia wito wa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ikiwa ni hatua ya kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe….
Millen Magese amkabidhi milioni 3 mwanamitindo bora wa Samia Fashion Festival Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWANAMITINDO wa Kimataifa Millen Happiness Magese amekabidhi kitita cha Sh.milioni tatu kwa Mwanamitindo Elizabeth Masuka aliyeibuka mshindi wa Samia Fashion Festival Zanzibar mwaka 2024. Millen Happiness Magese aliyekuwa Jaji Mkuu wa Samia Fashion…
Tamasha la Toyota Festival kutangaza utalii wa Ruvuma
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma Peres Magiri amezindua Tamasha kubwa la Toyota Festival ambalo limelenga juhudi za kuimarisha utalii, kukuza uchumi wa Mkoa huo na kuhamasisha ushirikiano wa kijamii kupitia shughuli mbalimbali za…
WHO yachunguza mripuko wa ugonjwa usiojulikana DRC
Shirika la Afya Duniani WHO limesema hapo jana kuwa linaendelea na uchunguzi kuhusu mripuko wa ugonjwa usiojulikana uliogundulika nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Katika mkoa wa Panzi, ulioko zaidi ya kilomita 700 kutoka mji mkuu Kinshasa, maambukizi 406 yameripotiwa…
‘Watoto 14,000 kati ya milioni 2 wana usonji’
Watoto 2,000,000 wanaozaliwa Tanzania 14,000 mpaka 20,000 wanazaliwa na usonji katika kipindi cha mwaka mmoja. Mkurugenzi Mkuu wa huduma za Kinga Wizara ya Afya, Dk. Hamad Nyembea ametoa takwimu hizo akiwa kwenye usiku wa msimu wa tatu wa harambee wa…