JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mkutano wa MICO Halal waibua mambo kuhusu umuhimu wa bidhaa za Halal

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam UKUBWA wa soko la bidhaa za Halal duniani umeendelea kuongezeka kutoka Dola trilioni 1.2 miaka 10 iliyopita hadi kufikia dola trilioni 2.29 mwaka jana. Hayo yamesemwa leo na mtoa mada Salum Awadh wakati…

DAWASA watakiwa kuongeza nguvu kukomesha wizi wa mita

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA) kukomesha wizi wa mita za maji ambao hivi sasa umekithiri katika maeneo mbalimbali jijini humo….

DCEA yaadhimisha Siku ya Vijana kwa kutoa elimu Arusha

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na Asasi ya Youth Hub Arusha tarehe 12.08.2024 imeadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kutoa elimu kinga kwa vijana 63 katika Ukumbi wa MS Training…

Serikali kufanya tathamini maeneo mbalimbali nchini kubaini athari za mafuriko

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema Serikali inatarajia kufanya tathmini katika maeneo mbalimbali nchini kubaini athari za mafuriko zinazotokana na mabadiliko ya tabianchi. Amesema hayo wakati akitoa ufafanuzi wa hoja…

RC Mara atoa wiki sita kwa mkurugenzi Serengeti

Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanal Evans Alfred Mtambi ametoa wiki Sita kwa mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kukamilisha Bweni la wanafunzi wakidato cha tano katika shule ya sekondari Ngoreme lilojengwa kwa nguvu za Wananchi na wanafunzi waliosoma…