JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

TCB kushirikiana na Bunge kuwainua wajasiriamali nchini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Katika jitihada za kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi za kifedha na mihimili ya Serikali, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), Bw. Adam Mihayo, amemtembelea na kuzungumza na Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa…

TMX : Tumeanza msimu wa korosho 2024/2025

Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Bidhaa Tanzania – TMX Godfrey Marekano ameeleza kuwa maandalizi ya uuzaji na uunuzi wa Korosho msimu 2024/25 yameanza na yanaendelea vizuri. Marekano amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake Jijini Dar…

Kunenge : Wananchi watoe maoni Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 – 2050

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Serikali mkoani Pwani ,imehimiza wananchi kutoa maoni yao ili kufanikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025-2050 kwa manufaa ya vizazi vijavyo pamoja na kuwa na Tanzania yenye Neema, Amani na Uchumi. Akitoa rai kwa wananchi…