Latest Posts
TRC kuimarisha mifumo dhidi ya udanganyifu wa tiketi
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Reli Nchini (TRC) Limekiri kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu kwa baadhi ya abiria wa Treni ya umeme (SGR) kwa kukata tiketi za kushuka njiani na baadae kupitiliza vituo wanavyopaswa kushuka ikiwa ni…
Rais Samia amefanya umeme kuwa si anasa – Kapinga
📌 *Tanzania kufuta historia ya Vijiji kutokuwa na umeme 📌 Kati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umeme 📌 Wananchi watakiwa kutunza miundombinu ya umeme Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano…
Waziri Kombo asisitiza amani na usalama katika kanda ya SADC
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Harare Zimbabwe Tanzania inashiriki kikamilifu juhudi za kutafuta amani ndani ya kanda, barani Afrika na duniani ikiwa ni pamoja na kuchangia gharama zake. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…
Bilioni 146 kutumika matengenezo ya dharura ujenzi wa madaraja Lindi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Kuanzia Oktoba, 2023 hadi kufikia Mei, 2024 Tanzania ilikumbwa na kadhia ya mvua kubwa zilizotawala zikichangiwa na tukio la asili la hali ya hewa El-Nino pamoja na Kimbunga Hidaya lililoathiri hali ya hewa nchini na…
Changamoto uchakataji mkonge kupatiwa ufumbuzi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga CHANGAMOTO ya uhaba wa mashine za kuchakata Mkonge (korona) inayowakabili wakulima katika maeneo yao inatarajiwa kuwa historia hatua itakayochochea ongezeko la uzalishaji wa zao hilo. Hatua hiyo imetokana na ziara ya Wajumbe wa Bodi ya…
Ubalozi waadhimisha miaka 78 ya Uhuru wa India
Na Lookman Miraji,JamhuriMedia, Dar es Salaam Historia ya Uhuru wa taifa la India ilianzia katika kipindi cha ukoloni ambapo taifa hilo lilipata kutawaliwa na waingereza kuanzia miaka ya 1858 mpaka mwaka 1947 ambapo utawala wa muingereza ulitamatika rasmi kupitia mfumo…