Latest Posts
TIC yaeleza mafaniko yake kwa kipindi cha miaka minne
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Gilead Teri amesema Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), imefanikiwa kusajili jumla ya miradi 2,020 ambayo ni sawa na ongezeko la asilimia 177.47…
WHO : Mpox ni tishio duniani
Kamati ya wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) inayosimamia dharura za afya kimataifa imeamua kwamba ugonjwa wa Mpox bado ni dharura ya afya ya umma inayotia wasiwasi duniani. Uamuzi huu ulifikiwa katika mkutano wa tatu wa Kamati ya Kanuni…
Rais Samia aitaka REA kuupa kipaumbele mkakati wa nishati safi ya kupikia
📌Azindua mradi wa usambazaji nishati safi ya kupikia 📌Sekta binafsi kupewa kipaumbele matumizi ya nishati safi kwa bei nafuu 📌Apongeza ubunifu wa teknolojia za nishati safi ya kupikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan…
Serikali kuendelea kutunga sera rafiki kuwezesha ushiriki wa sekta binafsi katika nishati safi ya kupikia
📌 Rais Dkt.Samia aitaka Wizara ya Nishati kuendelea kusimamia Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia 📌 Ataka umeme Vijijini uwe zaidi ya kuwasha taa na kuchaji 📌 Kapinga asema ifikapo 2030 Vitongoji vyote vitakuwa vimefikiwa na umeme Rais wa Jamhuri…
Watakiwa kutumia kalamu zao kwenye elimu ya tabianchi na mazingira
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar e Salaam Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na Jinsia na Mabadiliko ya Tabia nchi, (Wated) limewataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kuelimisha jamii kuhusu masuala ya mabadiliko ya tabia nchi na mazingira yanayoendelea katika…
Serikali yavuna bilioni 183 masoko ya madini
• Ni mwaka wa fedha 2023/2024• Masoko ya madini yafikia 43, vituo 109• Wanolewa matumizi sahihi ya XRF WAKATI masoko ya madini yakifikia 43, mchango wa masoko hayo umeongezeka kutoka Shilingi Bilioni 8 mwaka 2018/ 2019 hadi Shilingi Bilioni 183…