JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali kuongeza thamani ya tanzanite

 Serikali imesema ina mpangokazi wa kupandisha thamani ya soko la madini ya tanzanite kwenye soko la dunia. Waziri wa Madini, Antony Mavunde amesema hayo wakati akihutubia wafanyabiashara wa tanzanite, wamiliki wa migodi ya madini hayo, wachimbaji na wauzaji. Mkutano huo…

TMA yawahimizwa wadau kutoa maoni na kujipanga na utabiri wa msimu wa vuli

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imekutana na wadau kutoka sekta mbalimbali nchini ili kujipanga na Utabiri wa Msimu wa Vuli 2024 katika ukumbi wa PSSSF, jijini Dodoma. Akifungua mkutano huo jana, Mwenyekiti wa…

Serikali ya Ruto kurejesha vipengee vya mswada wa fedha

Serikali ya Kenya imesema italazimika kurejesha baadhi ya hatua za ulipaji kodi ambazo zilifutwa baada ya kuibuka maandamano makubwa mwezi Juni. Hatua ya Serikali ya Kenya ni jambo linalozidisha hatari ya kutokea machafuko zaidi katika taifa hilo la Afrika Mashariki….

Maboresho Mahakama ya Tanzania yaivutia Mahakama ya Malawi

Na Mary Gwera, Dodoma Maboresho makubwa yanayoendelea kufanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Uongozi wa Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan yanaonekana kuwa kivutio kwa nchi mbalimbali duniani kuja kujifunza namna ambavyo Mahakama inaendesha shughuli…

Zelensky: Wanajeshi wetu wanatimiza malengo yao huko Kursk

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema wanajeshi wake wanatimiza malengo yao kufuatia mashambulizi katika eneo la Urusi la Kursk, yaliyoanzishwa karibu wiki mbili zilizopita. Kwenye hotuba yake, Zelensky amesema “nimepokea ripoti kutoka kwa Kamanda Mkuu wa jeshi Syrskyi kuhusu hali…