Latest Posts
Halmashauri Pwani zatakiwa kusimamia malengo ya utekelezaji wa mkataba wa lishe
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Halmashauri mkoani Pwani zimetakiwa kutumia fedha zinazotengwa kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za lishe kama zilivyopangwa pamoja na kutenga fedha za vibao vya ufuatiliaji wa makuzi ya watoto katika kila kituo. Ofisa lishe mkoani…
Mbowe wafundishe CHADEMA siasa za Tanzania
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kati ya Agosti 10 na 12, 2024 wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wapatao 520 walikamatwa Mbeya na mikoa mingine ikiwamo Dar es Salaam, Iringa, Dodoma. Wafuasi hawa walikamatwa kutokana na…
Dk Mwinyi amsifu Samia kuimarisha umoja
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amemsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuimari sha umoja na uzalendo. Dk Mwinyi alisema hayo katika viwanja vya Kizim kazi Dimbani wilayani Kusini Unguja jana wakati akizindua tamasha la Kizimkazi mwaka 2024. ‘’Ninapenda kumpongeza…
Ufunguzi wa kogamano la tatu la Chama cha Madereva wa Serikali
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa vitendea kazi vya ufundi wa magari na Mkurugenzi wa Ufundi na Matengenezo TEMESA Hassan Kalonda, kwenye ufunguzi wa Kongamano la Tatu la Chama Cha Madereva wa Serikali, uliyofanyika katika ukumbi wa AICC Arusha Agosti 20,…
Serikali kuongeza thamani ya tanzanite
Serikali imesema ina mpangokazi wa kupandisha thamani ya soko la madini ya tanzanite kwenye soko la dunia. Waziri wa Madini, Antony Mavunde amesema hayo wakati akihutubia wafanyabiashara wa tanzanite, wamiliki wa migodi ya madini hayo, wachimbaji na wauzaji. Mkutano huo…