Latest Posts
Wizara ya Nishati yashiriki tamasha la Kizimkazi Zanzibar
📌 Yatoa huduma moja kwa moja kwa Wananchi kupitia Taasisi zake 📌 Nishati safi ya kupikia, yawa ajenda ya kuvutia Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar. Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake leo Agosti 21, 2024 zimeshiriki katika Tamasha la…
DK. Mpango aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la mto Hurui
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Daraja la mto Hurui lililopo kata ya Kikore Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma huku akiwahimiza wananchi wa kata…
Wakili Mbedule apiga ‘Jeki’ Halmashauri ya Iringa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa imepata msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Wakili wa kujitegemea na mdau wa maendeleo, Jimbo la Kalenga, Sosten Mbedule ambaye ametoa seti sita za vifaa vya michezo na mipira…
WHO: Mpox sio aina mpya ya UVIKO
Shirika la Afya Duniani WHO limetoa tamko rasmi leo Jumanne la kusisitiza kwamba ugonjwa wa homa ya nyani unaosababishwa na virusi vya mpox, sio ugonjwa mpya wa UVIKO unaosababishwa na virusi vya corona. Tamko hilo limetolewa baada ya kuibuka kwa…
Rais mstaafu Kikwete akutana na Makamu wa Rais Nigeria jiini Abuja
ABUJA, Nigeria – Agosti 21, 2024 – Makamu wa Rais wa Nigeria Mhe. Kashim Shettima ametoa wito wa kuimarisha ushirikiano kati ya Nigeria na Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ujumuishaji wa kikanda na juhudi za pamoja ili kufanikisha ukuaji na umoja…
TLS yaitaka Polisi kumfikisha mahakamani afande aliyeagiza binti Yombo abakwe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), kimelitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha mtuhumiwa mkuu aliyesababisha tukio la kubakwa na kulawitiwa kwa binti wa Yombo anafikishwa mahakamani upesi ili haki ipatikane. Akizungumza na vyombo vya habari…