JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dola milioni 18.5 kudhibiti Mpox

Shirika la Umoja wa Mataifa la Wahamiaji (IOM), limeomba msaada wa dola milioni 18.5 kwa ajili ya kutoa huduma za afya kwa watu walioathiriwa na mripuko wa homa ya Mpox Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika. Mkurugenzi Mkuu wa IOM,…

Zanzibar kuweka mkazo zao la mwani

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kuweka mkazo kwenye sekta ya mwani ili kuzalisha bidhaa zenye ubora na kuzipatia soko la uhakika. Dk Mwinyi amesema hayo leo Agosti 21, Ikulu Zanzibar…

Mtumishi SUMA JKT – Tunduma mbaroni kwa kuomba na kupokea rushwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe Mahakama ya Wilaya ya Momba Imemhukumu Bw Esau Andrew Hinjo aliyekuwa Askari wa SUMA JKT-Tunduma adhabu ya kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya sh. 500,000 kwa kosa la kuomba na kupokea hongo kinyume…

Katibu Chama cha Ushirika Matandu Amcos Lindi mbaroni kwa kuhujumu uchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Agosti 21, 2024, Mahakama ya Wilaya ya Kilwa imemtia hatiani aliyekuwa Katibu wa ‘Matandu AMCOS’ Salum Kitengwike katika Kesi ya Uhujumu Uchumi Namba 17158/2024 Salum alikuwa anashtakiwa kwa kosa la kuisababishia hasara mamlaka kinyume na…

Mloganzila yawaita wenye shida ya nyonga na magoti

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam HOSPITALI ya Muhimbili tawi la Mloganzila, imewataka watanzania wenye shida ya magoti na nyonga wajitokeze kwaajili ya kambi ya upasuaji kutoka kwa wataalamu wa ndani watakaoshirikiana na wabobezi kutoka nchini India. Kambi hiyo…

Mkutano wa kimataifa wa uwekezaji sekta ya madini Tanzania kuwavuta wawekezaji duniani – Mavunde

Asema Tanzania Iko tayari kwa Uongezaji Thamani Madini 📍Dar es Salaam. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa…