JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waiomba Serikali kuboresha kiwango cha fidia kwa wanaoathirika na wanyamapori

Baadhi wananchi wa Kata ya Kalemawe Wilayani Same (Jimbo la Same Mashariki) wameiomba Serikali kuboresha Sheria ya kiwango cha fidia (kifuta machozi) kinachotolewa kwa waathirika wa uvamizi wa Wanyama wakali na waharibifu (Tembo) ambao wamekuwa kero kubwa kwenye maeneo yao….

DC Kinondoni aongoza kampeni ya utunzwaji mazingira

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia,Dar ea Salaam Mkuu wa wilaya ya kinondoni Saad Mtambule ameongoza mamia ya watu katika kampeni ya utunzwaji mazingira katika hafla iliyofanyika Asubuhi ya leo maeneo kunduchi, Dsm. Kampeni hiyo ijulikanayo kama IRRIGATION TOUR imeratibiwa na taasisi…

Serikali itaendelea kutumia TEHAMA kukuza maendeleo – Dk Biteko

📌 Lengo ni kuimarisha uchumi wa kidijitali 📌 Sekta binafsi yatakiwa kuchangamkia fursa 📌 Azindua Mpango wa Ujuzi wa Kidigitali kwa Wote – Digi Truck na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Serikali itaendelea kutoa kipaumbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na…

Majaliwa ashuhudia wanachama wa CUF, ACT – Wazalendo wakirejea CCM

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa ameshuhudia wanachama 24 wa vyama vya CUF na ACT-Wazalendo wakirejea CCM ndani ya siku mbili. Mheshimiwa Majaliwa alishuhudia wanachama hao wakikabidhi kadi zao kwa Katibu…

Mweka hazina mbaroni kwa ubadhirifu wa fedha za kikundi

Agosti 22, 2024 Mahakama ya Wilaya Ilala ilimtia hatiani mshtakiwa Sefania Adam Mwanja-ambaye ni mweka jazina wa Kikundi cha Afya Jamii. Bw. Mwanja alikabiliwa na makosa ya kughushi, uhujumu ichumi na itakatishaji wa fedha haramu katika shauri la uhujumu uchumi…