JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Nakubaliana na Mbowe, iundweTume kuchunguza mauaji

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, alitoa hoja ya kutaka Serikali iunde Tume ya Kuchunguza mauaji na utekaji nchini. Hoja hii ameitoa baada ya Rais wa Chama cha…

Raia wa China aliyejifungua mapacha Dar ashukuru kwa huduma nzuri

Na Mwandishi Wetu, Janhuru Media, Dar es Salaam RAIA wa China, Liya Zhang (31), ambaye amejifungua watoto mapacha watatu wa kiume katika hospitali ya Regency ya jijini Dar es Salaam ameshukuru kwa huduma nzuri alizopata. Raia huyo alijifungua watoto hao…

Waziri Aweso azindua kampeni ya Dawasa Mtaa kwa Mtaa

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amezindua kampeni ya Dawasa Mtaa kwa Mtaa ambayo inalenga kuondoa changamoto mbalimbali kwa wananchi ili kuhakikisha huduma ya maji safi na salama inapatikana. Kampeni hiyo itakayosambaa nchi nzima…

Marekani yasisitiza nia ya kuendeleza mradi wa Kabanga Nickel na Kampuni ya BHP

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Marekani imesisitiza nia ya kushiriki katika kuendeleza Mradi wa Kabanga Nickel na Kampuni ya BHP. Pia imeweka mkazo wa ushiriki wake katika mradi huo wa kimkakati ambao ni kati ya miradi…

Tanzania yawanoa wataalamu wa hali ya hewa Afrika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katika kuwajengea uwezo wataalamu wa hali ya hewa kutoka Taasisi za Hali ya Hewa barani Afrika, Kitengo cha Elimu na Mafunzo cha Shirika la Hali ya Hewa Duniani kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Hali…

REA yamtaka mwendelezaji mradi wa kufua umeme Maguta Iringa kuongeza kasi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Serikali imemtaka mwendelezaji wa mradi wa kufua umeme kwa kutumia maporomoko ya maji wa Maguta uliopo katika Kijiji cha Masisiwe Wilayani Kilolo mkoani Iringa kuukamilisha kwa wakati. Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala…