JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Masauni awahimiza Kondoa kujiandikisha daftari la mpigakura

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kondoa WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amewahimiza wananchi wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma kujiandikisha kwa wingi katika daftari la mpigakura ili kuchagua viongozi watakaowaletea maendeleo. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara…

Watu 339 wafariki dunia kufuatia mvua kubwa Niger

Mvua zinazoendelea kunyesha nchini Niger zimesababisha vifo vya watu 339 na kuwaacha zaidi ya watu milioni 1.1 bila makaazi rasmi tangu mwezi Juni. Waziri wa mambo ya ndani mwezi uliopita alifahamisha kuwa takriban watu 273 walipoteza maisha na wengine 700,000…

Tume utumishi wa walimu, mahakama kubadilishana uzoefu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Tume ya Utumishi wa Walimu na Tume ya Utumishi wa Mahakama zimekubaliana kuwa na ushirikiano wa karibu, kukutana mara kwa mara na kupeana uzoefu kwani zote mbili zinatekeleza majukumu yanayofanana. Katibu wa Tume ya Utumishi…

Programu elimu mbadala yawezesha wasichana 194 kurudi shule

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kongwa Wasichana 194 waliorejeshwa shuleni kutokana na kupata ujauzito wameendelea na masomo kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari kwa Njia Mbadala (SEQUIP-AEP) mkoani Dodoma. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Mayeka Mayeka wakati…

Kuongezeka kwa uharibifu wa mazingira, zinahitaji hatua za haraka

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kupunguza Umaskini (REPOA), Dk Donald Mmari amesema kuwa uharibifu wa mazingira umeongezeka kwa asilimia 26 katika kipindi cha miaka saba, kuanzia 2015 hadi 2022. Alisema mradi wa utafiti uliofanywa na REPOA unaonyesha kuwa…

Mfumo wa stakabadhi ghalani unaongeza ustawi wa wakulima- Dk Nchimbi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema Serikali inayoongozwa na CCM ilianzisha stakabadhi ghalani kwa makusudi ili kuwalinda wakulima dhidi ya unyonyaji na hivyo kuboresha uchumi wa wakulima na wa nchi. Alisema mfumo huo ulianzishwa…