JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mpango ampa rungu Waziri Bashe kutowaonea aibu wanaohujumu kilimo cha tumbaku

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora MAKAMU wa Rais Dkt. Philip Mpango amempa rungu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, kuwashughulikia wanaohujumu tumbaku mkoani Tabora. Hatua hiyo imekuja baada ya waziri huyo kuwatolea uvivu wanaohujumu kilimo cha tumbaku na kumueleza Makamu wa…

CCBRT yaadhimisha Siku ya Afya ya Macho Duniani kwa kufanya uchunguzi bure Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hospitali ya CCBRT iliyoko Msasani Dar es Salaam inaungana na dunia kuadhimisha siku ya afya ya macho duniani mwaka 2024, kwa kusogeza huduma za macho karibu na watanazania wenye mahitaji, ambapo hospitali hiyo…

Tanzania kuwa kitovu cha kimataifa cha ubunifu wa teknolojia na bahari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ushirikiano kati ya Taasisi ya Adani Foundation na IITM Zanzibar kwa pamoja wamekubaliana katika kuboresha elimu ya juu nchini katika kuunda fursa kwa vijana, hasa wale wanaotoka katika familia zenye hali duni. Kwa…

Palmer achaguliwa mchezaji bora wa mwaka England

Na Isri Mohamed Kiungo wa Chelsea, Cole Palmer amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa kiume wa mwaka 2023/24 wa timu ya England kwa kura za wachezaji. Kiungo wa Real Madrid, Jude Bellingham amekamata nafasi ya pili huku Bukayo Saka wa Arsenal…

Injinia Hersi aalikwa mkutano wa ECA Ugiriki

Na Isri Mohamed RAIS wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said ni miongoni kati ya wageni waalikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu Barani Ulaya (ECA). Hersi ambaye pia ni Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, atahudhuria mkutano huo unaofanyika katika mji…

Wanaodaiwa kumuua mkulima Arusha wakamatwa

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kuwakamata watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya Israel Paulo (36) Mkulima na Mkazi wa Leguruki, Wilaya ya Arumeru na Mkoa wa Arusha aliyefariki dunia tarehe 5 mwezi…