JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tanzania, Oman kuimarisha ushirikiano kidiplomasia

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Oman ambao umedumu kwa zaidi ya miaka 44 ni wa kihistoria…

Mradi wa Tanzania ya kidijitali wafikia asilimia 80

Na Happy Lazaro,JamhuriMedia, Arusha SERIKALI imesema mradi wa Tanzania ya Kidijitali unaofadhiliwa na. Benki ya Dunia umefikia asilimia 80 ya utekelezaji 1wake, lengo likiwa ni kuweka mazingira wezeshi, kutoa huduma bora na miundombinu wezeshi kwa wananchi ili wanufaike na mradi…

Wathaminishaji madini wajengewa uwezo

Watakiwa kuwa waadilifu Wathaminishaji wa madini wametakiwa kuwa waadilifu na kutumia taaluma yao vizuri ili kuepuka makosa madogo madogo Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimaliwatu na Utawala wa Tume ya Madini, Nsajigwa Kabigi wakati akifungua kikao cha wathaminishaji…

Mfumuko wa bei waongezeka Kenya

Mfumuko wa bei wa kila mwaka nchini Kenya (KECPI=ECI), unafungua orodha mpya ya ongezeko kwa mwezi wa nne mfululizo hadi 3.5% mwezi Februari kutoka 3.3% mwezi Januari, ofisi ya takwimu ilisema Ijumaa. Mfumuko wa bei wa kimsingi ulisalia kwa 2.0%…