JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Amir Jeshi Mkuu Rais Dk Samia akizindua kitabu cha miaka 60 ya JWTZ

Mtukio mbalimbali wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 kwa Jeshi hilo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia…

Polisi wanawake Tanzania washiriki mafunzo Marekani

CHICAGO MAREKANI Katika Picha ni washiriki wa Mkutano wa Mafunzo ya Shirikisho la Askari wa kike na wasimamizi wa sheria wakifuatilia ufunguzi wa mafunzo yaliyolenga kuwajengea uwezo wa kiutendaji shirikisho hilo Leo Septemba 01,2024 Katika Jiji la Chicago Nchini Marekani          

Rais Samia kushiriki mkutano FOCAC

Rais Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajia kuhudhuria mkutano wa kilele na wakuu wa nchi na Serikali na Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wenye lengo la kushirikiana katika kuimarisha uchumi utakaofanyika Septemba 4 hadi 6 nchini China. Hayo…

NFRA wapewa saa 72 kulipa wauzaji mazao

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Dk Hussein Mohamed Omar ameuagiza Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kuhakikisha malipo ya wakulima na wafanyabiashara wa mazao wanaouzia wakala huo yanafanyika ndani ya saa 72 baada ya kupokea mazao yao na…