JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Jukwaa Sekta ya Fedha 2024 lazinduliwa

Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, amezindua Jukwaa la kwanza la Wadau wa Sekta ya Fedha kwa mwaka 2024 jijini Dar es Salaam, litakalotumiwa na wadau kujadili fursa na hatua mbalimbali za kuboresha Sekta ya Fedha. Fursa na hatua hizo ni…

Netanyahu kutoa ushahidi mahakamani leo kuhusu tuhuma za ufisadi

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajiwa kutoa ushahidi mahakamani leo wa tuhuma za rushwa. Waendesha mashtaka wamemshutumu kwa kutoa makubaliano ya kisheria kwa wamiliki wa vyombo vya habari ili kupata habari chanya, na kukubali zawadi na faida za gharama…

Benki ya Dunia yapunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi Kenya 2024

Benki ya Dunia yapunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa Kenya 2024 hadi asilimia 4.7 kutokana na changamoto za kifedha Benki ya Dunia imepunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa Kenya kwa mwaka huu hadi asilimia 4.7 siku ya Jumanne,…