Latest Posts
Tanzania, Hispania zaimarisha diplomasia
SERIKALI ya Tanzania imeendelea kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na Serikali ya Hispania katika sekta za utalii, afya, maji, miundombinu, usafi wa mazingira, kilimo na nishati ambazo zinachangia katika kuboresha maisha ya Watanzania. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Maliasili na Utalii,…
Rais Samia achangia mil. 50/-, kufanikisha ujenzi wa shule, umaliziaji wa majengo ya Zahanati Simiyu
Na Mwandishi Wetu (OR – TAMISEMI,) Simiyu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 50, katika harambee ya kuchangia ujenzi wa shule ya msingi na umaliziaji wa majengo ya zahanati…
Sekta binafsi ya ulinzi yapongezwa kwa huduma bora
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi limeeleza kuridhishwa na huduma bora inayotolewa na sekta binafsi ya ulinzi ambayo imesaidia kuendeleza usalama wa raia na mali zao hapa nchini. Mkuu wa Ushirikishwaji Jamii wa Jeshi la Polisi…