Latest Posts
Ukraine yakubali pendekezo la usitishaji mapigano
Maafisa wa Marekani na Ukraine wamefanya mazungumzo ya usuluhishi wa mzozo kati ya Urusi na Ukraine mjini Jeddah, Saudi Arabia, katika juhudi za kusisitisha vita. Ukraine imelikaribisha pendekezo la Marekani la kusitisha mapigano kwa siku 30 katika vita na Urusi…
Kapinga azindua namba ya bure yabhuduma kwa wateja TANESCO
📌Awapongeza TANESCO kutekeleza agizo la Mhe. Dkt. Biteko kuwataka kuanzisha namba ya huduma kwa wateja bure 📌Asema namba hii ya 180 ya bure kwa wateja kuimarisha huduma kwa wateja na kutatua changamoto zao 📌Awaagiza Mameneja wa Mikoa na wilaya wa…
Dk Biteko mgeni rasmi mkutano wa 62 wa Bodi ya EITI Arusha
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dokta Doto Mashaka Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano wa 62 wa bodi ya EITI utakaofanyika katika hoteli ya Gran Melia iliyopo jijiji Arusha kesho….
Tanzania na Urusi kushirikiana kuimarisha uhifadhi wa misitu kwa teknolojia za kisasa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Tanzania imeendelea kuimarisha ushirikiano wake na Urusi katika sekta ya misitu kwa lengo la kuboresha uhifadhi wa rasilimali zake kupitia teknolojia na mbinu za kisasa. Hayo yamejiri katika kikao kati ya Waziri wa Maliasili na…
Wizi wa mafuta, uwekaji vinasaba wabainika kuwa na walakini
*Ya kupelekwa nje ya nchi yaishia ‘sheli’ za ndani *TBS wasuasua kutekeleza masharti ya mkataba Na Manyerere Jackton, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wimbi jipya la uhujumu uchumi kupitia biashara ya mafuta yanayosafirishwa kwenda mataifa jirani limeibuka, huku mamlaka za serikali…
DAWASA yaahidi uhakika wa uzalishaji wa maji Dar
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa uwezo wa uzalishaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam umeongezeka kutoka lita…