JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

EWURA : Marufuku kuunganisha umeme majumbani kama huna leseni

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi imewataka mafundi na wataalamu wa umeme kufanya kazi zao kwa weledi mkubwa ili kuepusha hitilafu zinazoweza kusababisha athari na uharibifu. Rai hiyo…

Mashindano KNK Cup 2024 yahitimishwa, mabingwa wa Bukombe, Karagwe kuchuana

📌 Mshindi wa Kwanza anyakua kitita cha milioni 5 📌 Simba, Yanga Wateka Vijana wenye Vipaji Mashindano ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe .Dkt….

Rais Mstaafu Kikwete atoa mafunzo kwa mawaziri wa afya, elimu Marekani

Rais Mstaafu wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho, yuko mjini Boston, Marekani ambapo anashiriki katika kutoa mafunzo kwa Mawaziri wa Afya na Elimu kutoka nchi mbalimbali zinazoendelea kupitia Mpango wa Uongozi wa Harvard  (Harvard Ministerial Leadership Program)  inayoendeshwa na…

Akutwa ameuawa porini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mtu mmoja aliyehamika kwa jina la Costa Clemence, 22, mkazi wa kijiji cha Maseyu kata ya Gwata Wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro amekutwa amefariki dunia na mwili ukiwa umetelekezwa porini katika kijiji hicho. Kamanda wa…

Tabora tumepiga vita mafudi umeme vishoka : RAS Tabora

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora, Dkt John Mboya, akifungua semina ya siku moja kwa mafundi umeme wa mkoa huo, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora,Paul Matiko Chacha, leo 17 Septemba 2024,amewasihi mafundi…